-
Har-magedoni—Je, Ni Mwisho Wenye Msiba?Mnara wa Mlinzi—2005 | Desemba 1
-
-
Neno hilo limetumiwa sana kufafanua hali zenye kuhuzunisha zinazowakabili wanadamu. Vyombo vya habari vimewaonyesha watu picha nyingi zenye kuogopesha za “Har–Magedoni” inayokuja. Neno hilo limekuwa fumbo kwa watu wengi na limeeleweka vibaya. Ingawa kuna maoni mbalimbali kuhusu neno hilo, mengi hayapatani na yale ambayo Biblia—chanzo cha neno hilo—hufundisha kuhusu Har–Magedoni.
-
-
Har-magedoni—Je, Ni Mwisho Wenye Msiba?Mnara wa Mlinzi—2005 | Desemba 1
-
-
[Sanduku/Picha katika ukurasa wa 3]
UNAFIKIRI HAR-MAGEDONI NI NINI?
• Maangamizi ya nyuklia
• Uharibifu wa mazingira
• Mgongano wa dunia na kitu cha angani
-