Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Estonia
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mashahidi walitumia matukio ya pekee kama vile harusi, kuwa mbinu ya kuficha mikutano na makusanyiko yao. Kwa mfano, sherehe ya harusi ya Heimar na Elvi Tuiman iliendelea kwa siku mbili. Nyakati nyingine vikusanyiko hivyo, viliendelea kwa siku tatu au nne. Wazee wa makutaniko nchini Estonia waliwatia moyo wachumba wasialike watu wengi kwenye harusi zao. Vikundi vidogo havingeweza kuonekana kwa urahisi, havikuvuta uangalifu sana, na hivyo havingesababisha matatizo mengi.

  • Estonia
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 218]

      Sherehe ya harusi ya Heimar na Elvi Tuiman—kusanyiko lililofanywa kwa siku mbili

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki