-
Je, Elimu ya Vitu vya Kale Inaunga Mkono Biblia?Amkeni!—2007 | Novemba
-
-
Rekodi za Waashuru Zinatoa Uthibitisho Zaidi
Ashuru, ambayo wakati fulani ilikuwa milki yenye nguvu, hutajwa mara nyingi katika Biblia, na ugunduzi mwingi wa vitu vya kale katika eneo hilo hutoa ushuhuda kuhusu usahihi wa Maandiko. Kwa mfano, uchimbuzi katika eneo ambalo Ninawi, jiji kuu la Ashuru, lilikuwa ulifunua jiwe lililochongwa [7] katika jumba la Mfalme Senakeribu, lililoonyesha askari Waashuru wakiwapeleka mateka Wayahudi uhamishoni baada ya kuanguka kwa jiji la Lakishi mnamo 732 K.W.K. Unaweza kusoma simulizi hilo la Biblia kwenye 2 Wafalme 18:13-15.
-
-
Je, Elimu ya Vitu vya Kale Inaunga Mkono Biblia?Amkeni!—2007 | Novemba
-
-
7, 8: Photograph taken by courtesy of the British Museum
-