-
Kuwasaidia Watoto Wenye Matatizo ya KujifunzaAmkeni!—2009 | Januari
-
-
Pia kuna mbinu zinazofaa za kushughulikia watoto wenye ADHD. Kabla ya kuzungumza na mtoto mwenye matatizo ya kukaza fikira, mtazame ana kwa ana. Tafuta mahali patulivu ambapo anaweza kufanyia kazi za shule, na mruhusu mtoto wako apumzike mara nyingi. Tumia umachachari wake kwa kumpa kazi zinazomfanya afanye kazi kwa bidii, kama kumtembeza mbwa.
-
-
Kuwasaidia Watoto Wenye Matatizo ya KujifunzaAmkeni!—2009 | Januari
-
-
a Mara nyingi, matatizo ya kujifunza huambatana na Tatizo la Upungufu wa Makini Kutokana na Utendaji wa Kupita Kiasi (ADHD), tatizo ambalo huonekana mtoto anapokuwa mwenye umachachari, kufanya mambo haraka-haraka, na kutokuwa na uwezo wa kukaza fikira. Ona Amkeni! la Februari 22, 1997 (22/2/1997), ukurasa wa 5-10.
-