Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Akina ndugu katika Australia walitambua kwamba mengi zaidi yangeweza kutimizwa ikiwa wangekuwa na mashua ya kutumia. Baada ya wakati waliunda mashua ya urefu wa meta 16 iliyoitwa Lightbearer, na kuanzia mapema katika 1935, wakaitumia kuwa kituo cha utendaji kwa miaka kadhaa kwa ajili ya kikundi cha ndugu wenye bidii walipokuwa wakitoa ushahidi katika Indies Mashariki ya Uholanzi (sasa ni Indonesia), Singapore, na Maleya. Kuwasili kwa mashua hiyo sikuzote kulivuta uangalifu mwingi, na jambo hilo mara nyingi lilifungua njia kwa akina ndugu ya kuhubiri na kuangusha fasihi nyingi.

  • Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Ramani/Picha katika ukurasa wa 440]

      Wakiwa ndani ya “Lightbearer,” mapainia wenye bidii walieneza ujumbe wa Ufalme katika Kusini-Mashariki mwa Asia

      [Ramani]

      (Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)

      MALEYA

      BORNEO

      CELEBES

      SUMATRA

      JAVA

      TIMOR

      NEW GUINEA

      AUSTRALIA

      BAHARI YA PASIFIKI

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki