Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kupambana na Hayawani Wawili Wakali Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na kinywa kinachosema mambo makubwa na makufuru akapewa [huyo hayawani mwenye vichwa saba], na mamlaka ya kutenda kwa miezi arobaini na miwili akapewa.

  • Kupambana na Hayawani Wawili Wakali Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 13:5

  • Kupambana na Hayawani Wawili Wakali Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 22. (a) Ile miezi 42 inarejezea kipindi gani cha wakati? (b) Wakati wa miezi 42, Wakristo wapakwa-mafuta ‘walishindwaje’?

      22 Miezi 42 inayotajwa hapa inaonekana kuwa kipindi kile kile cha miaka mitatu na nusu ambacho katika hicho wale watakatifu wanasumbuliwa na ule upembe uliozuka katika mmoja wa wale hayawani katika unabii wa Danieli. (Danieli 7:23-25; ona pia Ufunuo 11:1-4.) Hivyo, kufikia mwishoni mwa 1914 kuendelea mpaka ndani ya 1918, wakati mataifa yenye kupigana yalipokuwa yakiraruana kihalisi kama hayawani-mwitu, wananchi wa mataifa hayo walibanwa wamwabudu hayawani-mwitu, washiriki dini ya utukuzo wa taifa, hata kuwa tayari kufia nchi yao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki