Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Ni Nani Ambaye Anastahili Kufungua Hati-Kunjo?”
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na mimi nikaona akisimama katikati ya kiti cha ufalme na ya viumbe hai wanne na katikati ya wazee mwana-kondoo kana kwamba alikuwa amechinjwa, akiwa na pembe saba na macho saba, macho ambayo humaanisha roho saba za Mungu ambazo zimepelekwa katika dunia kwa ujumla.”—Ufunuo 5:6, NW.

  • “Ni Nani Ambaye Anastahili Kufungua Hati-Kunjo?”
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 12. Zile pembe saba za Mwana-Kondoo hufananisha nini?

      12 Ni kitu gani kingine kinachoongeza uthamini wetu kwa huyu “mwana-kondoo”? Ana pembe saba. Pembe katika Biblia mara nyingi huwa ni ufananisho wa nguvu au mamlaka, na saba ingeonyesha utimilifu. (Linga 1 Samweli 2:1, 10; Zaburi 112:9; 148:14.) Kwa sababu hiyo, zile pembe saba za Mwana-Kondoo zawakilisha utimilifu wa nguvu ambazo Yehova ameaminisha Yesu. Yeye yuko “juu sana juu ya kila serikali na mamlaka na nguvu na ubwana na kila jina linaloitwa jina, si katika huu mfumo wa mambo tu, bali pia katika ule unaopasa kuja.” (Waefeso 1:20-23; 1 Petro 3:22, NW) Hasa Yesu ametumia nguvu, nguvu za kiserikali, tangu 1914 wakati Yehova alipomketisha juu ya kiti cha ufalme akiwa Mfalme wa kimbingu.—Zaburi 2:6.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki