-
Mchango Wangu Katika Kuendeleza Elimu ya Biblia UlimwenguniMnara wa Mlinzi—2003 | Aprili 1
-
-
Ingawa ilikuwa rahisi kusafiri kwenda miji iliyoko pwani kwa gari-moshi na mashua, maeneo ya mashambani yangeweza kufikika kwa urahisi zaidi kwa kutumia gari. Nilifurahi ndugu yangu George alipojiunga nami, kwa kuwa tuliweza kununua gari kubwa ambalo lilikuwa na nafasi ya kuweka vitanda, mahali pa kupikia, stoo, na madirisha ya kuzuia mbu. Tulikuwa na vipaza-sauti vilivyowekwa kwenye paa. Hivyo tungeweza kuhubiri nyumba kwa nyumba mchana na kualika watu waje kusikiliza hotuba jioni kwenye masoko. Watu walipenda sana hotuba yenye kichwa “Is Hell Hot” iliyokuwa imerekodiwa katika santuri. Pindi moja tulisafiri kutoka Afrika Kusini hadi Kenya umbali wa kilometa 3,000 katika gari letu kubwa, na tulifurahi kwamba tulikuwa na vijitabu mbalimbali katika lugha nyingi za Kiafrika, ambavyo wenyeji walifurahi kuvipokea.
-
-
Mchango Wangu Katika Kuendeleza Elimu ya Biblia UlimwenguniMnara wa Mlinzi—2003 | Aprili 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 28]
Ndugu yangu George na gari letu tulilotumia kama nyumba
-