Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita
    2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Toshi, dada mwenye umri wa miaka 101 nchini Japani, alifurahi kujiandikisha kuwa painia msaidizi mwezi wa Aprili. Kwa kuwa hawezi kwenda nje ya makao anayoishi, yeye huhubiri kwa kuandika barua au kuwahubiria watu wanaofanya kazi hapo. Anaeleza: “Kwa kuwa nina tatizo la kusikia, mimi huzungumza kwa sauti ya juu. Kwa hiyo, hata watu walio katika ujirani wanaweza kunisikia.”

  • Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita
    2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 10]

      Toshi akimhubiria mfanyakazi katika makao ya kuwatunzia wazee

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki