-
Kichwa Kitukufu cha BibliaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Maandishi yaliyofukuliwa katika magofu ya Babuloni la kale yanaonyesha kwamba shughuli za kibiashara zenye kutumia hali mbaya za wanadamu wenzi kwa kujifaidi zilizoelewa sana huko nyuma.
-
-
Kichwa Kitukufu cha BibliaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
[Sanduku/Picha katika ukurasa wa 13]
Maandishi ya mchoro wa kale ya shughuli za biashara
Kile kitabu Ancient Near Eastern Texts, kilichohaririwa na James B. Pritchard, kinaorodhesha sheria 300 zilizotungwa na Hammurabi katika nyakati za Kibabuloni. Hizo zinaonyesha kwamba ilikuwa lazima kuzuia ukosefu wa haki wenye kutokeza ambao kwa wazi ulienea ulimwengu wa kibiashara katika siku hizo. Kuchukua kielelezo kimoja: “Ikiwa seignia amenunua au amepokea kwa ajili ya kuhifadhi salama ama fedha ama dhahabu ama mtumwa wa kiume ama mtumwa wa kike ama ng’ombe dume ama kondoo ama punda ama kitu cha aina yoyote kutoka mkono wa mwana wa seignia ama wa mtumwa wa seignia bila mashahidi na mikataba, kwa kuwa huyo seignia ni mwivi, yeye atauawa.”
-