Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jiji Kubwa Lateketezwa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Rudisha kwa yeye hata kama vile yeye mwenyewe alirudisha, na fanya kwa yeye mara mbili ya vile yeye alifanya, ndiyo, mara mbili ya hesabu ya alivyofanya; katika kikombe ambacho ndani yacho yeye aliweka mchanganyiko wekea yeye mara mbili ya mchanganyiko huo.

  • Jiji Kubwa Lateketezwa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 18:5-

  • Jiji Kubwa Lateketezwa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 28. Ni kiwango gani cha haki anachotumia Yehova kwa Babuloni Mkubwa, na kwa sababu gani?

      28 Chini ya Sheria ya Musa, ikiwa Mwisraeli aliiba kutoka wananchi wenzake, alikuwa sharti alipe ili kurudisha angalau maradufu katika kufidia. (Kutoka 22:1, 4, 7, 9) Katika uharibifu unaokuja wa Babuloni Mkubwa, Yehova atatumia kiwango kinacholinganika na hicho cha haki. Yeye atapokea maradufu ya yale aliyotoa. Hakutakuwa na rehema kwa sababu Babuloni Mkubwa hakuonyesha rehema yoyote kwa majeruhi wake. Yeye alijilisha kidusia juu ya watu wa dunia ili kujidumisha mwenyewe katika “anasa ya kutoona aibu.” Sasa yeye atateseka na kuomboleza.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki