Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Watu Wanaopenda Amani Watetea Jina Lao Zuri
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Mei 1
    • Mahakama Kuu za Shirikisho la Urusi na Jamhuri ya Altay (ambayo ni sehemu ya Urusi) zilitangaza kwamba vitabu kadhaa vinavyochapishwa na Mashahidi, kutia ndani gazeti hili unalosoma, vinawachochea watu kuwa na msimamo mkali wa kidini. Mashahidi wa Yehova walikata rufaa mara kadhaa na mataifa mengi yakaeleza hangaiko lao kuhusu jinsi Mashahidi wanavyotendewa—lakini mahakama hazikubadili uamuzi wake! Kufikia sasa uamuzi huo haujabadilishwa, kwa hiyo, ni hatia nchini Urusi kuingiza au kusambaza machapisho hayo yanayotegemea Biblia.

  • Watu Wanaopenda Amani Watetea Jina Lao Zuri
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Mei 1
Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki