-
Kukubali Mialiko ya Yehova HuthawabishaMnara wa Mlinzi—2001 | Desemba 1
-
-
Makusanyiko yetu yaliyojulikana kama tafrija yalifanyiwa katika bustani ya Monsanto Park, kwenye vitongoji vya Lisbon, na Costa da Caparica, eneo la pwani lililokuwa na msitu. Tulivalia nguo za kawaida wakati huo, nao wakaribishaji walisimama chonjo sehemu mbalimbali. Ikiwa mtu yeyote waliyemshuku angetokea, tungekuwa na wakati wa kutosha kuanza mchezo fulani, kuandaa viburudisho, au kuanza kuimba wimbo fulani wa kitamaduni.
-
-
Kukubali Mialiko ya Yehova HuthawabishaMnara wa Mlinzi—2001 | Desemba 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 27]
Kusanyiko huko Ureno wakati kazi yetu ilipokuwa imepigwa marufuku
-