-
Nimebarikiwa kwa Kumtanguliza MunguAmkeni!—2009 | Machi
-
-
Mwana wetu wa pili, Kola, alizaliwa Aprili 25, 1976 (25/4/1976). Siku mbili baadaye, sheria ya serikali Na. 111 ilipiga marufuku kazi ya Mashahidi wa Yehova.
-
-
Nimebarikiwa kwa Kumtanguliza MunguAmkeni!—2009 | Machi
-
-
Utumishi Wetu Nchini Benin
Tulisisimka kusikia kwamba sheria ya serikali nchini Benin ya Januari 23, 1990, ilitangaza kwamba sheria iliyokuwa imetolewa mapema ya kupiga kazi yetu marufuku ilikuwa imefutwa. Wakimbizi wengi walirudi.
-