Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nilichagua Kazi Bora Zaidi
    Amkeni!—2010 | Aprili
    • Hata hivyo, matatizo yalianza kutokea. Mnamo 1994, usajili wa kisheria wa tengenezo letu la kidini ulifutwa na vyombo vya habari vikaanzisha kampeni kubwa sana ya kueneza uvumi.b Mara nyingi, Mashahidi walifikishwa kwenye kituo cha polisi na vichapo vyetu vikachukuliwa. Wakati huo mgumu, hatungeweza kukutana katika mahali pa umma. Isitoshe, tulifanya mikutano yetu katika chumba chenye ukubwa wa mita 12 za mraba kando ya nyumba ya Yanita. Pindi moja tulikuwa watu 42 katika chumba hicho kidogo. Ili tusiwasumbue majirani, tulifunga dirisha tulipokuwa tukiimba nyimbo za Ufalme. Wakati mwingine, nje kulipokuwa na joto sana, huwezi kuwazia ndani ya chumba hicho kulikuwa na joto kadiri gani! Lakini tulifurahi sana kuwa pamoja.

  • Nilichagua Kazi Bora Zaidi
    Amkeni!—2010 | Aprili
    • b Mnamo mwaka wa 1998, baada ya kukata rufaa kwa Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu huko Strasbourg, tengenezo la Mashahidi wa Yehova liliandikishwa tena kisheria nchini Bulgaria.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki