-
Yehova Huwafedhehesha Wenye KiburiUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Siku hiyo kila mtu atazitupilia mbali sanamu zake za fedha, na sanamu zake za dhahabu . . . kwa fuko na popo;
-
-
Yehova Huwafedhehesha Wenye KiburiUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
13 Fuko huishi katika mashimo ardhini, na popo huishi katika mapango yenye ukiwa na giza. Na zaidi, mahali wanakoishi popo wengi pamoja, kuna harufu mbaya na mkusanyo mkubwa wa kinyesi. Kutupwa kwa sanamu mahali kama hapo kwafaa. Hizo zastahili kutupwa mahali penye giza na uchafu.
-