-
Historia ya Waroma Inatufunza Somo FulaniMnara wa Mlinzi—2002 | Juni 15
-
-
Historia ya Waroma Inatufunza Somo Fulani
“IKIWA, kama wanadamu, nimepigana na mahayawani-mwitu katika Efeso.” Watu fulani hufikiri kwamba maneno hayo, yanayopatikana katika andiko la 1 Wakorintho 15:32, yanamaanisha kwamba mtume Paulo alihukumiwa kupigana katika uwanja fulani wa Waroma.
-
-
Historia ya Waroma Inatufunza Somo FulaniMnara wa Mlinzi—2002 | Juni 15
-
-
Wengine walizoezwa kupigana na wanyama katika onyesho la uwindaji lililopendwa sana. Je, Paulo alikuwa akizungumza kuhusu pigano hilo?
-
-
Historia ya Waroma Inatufunza Somo FulaniMnara wa Mlinzi—2002 | Juni 15
-
-
Wawindaji walidhihirisha ustadi wao wa kuua wanyama ambao waliletwa kutoka sehemu zote za milki hiyo bila kujali gharama iliyohusika. Wanyama hao walitia ndani chui, vifaru, viboko, twiga, fisi, ngamia, mbwa-mwitu, nguruwe-mwitu, na paa.
Mandhari kwenye viwanja hivyo yalifanya watu wasisahau maonyesho hayo ya uwindaji. Miamba, vidimbwi, na miti ilitumiwa ili mahali hapo pafanane na misitu. Katika viwanja fulani, wanyama walitokea tu kana kwamba kwa mizungu, wakipandishwa na lifti za chini ya ardhi na kutokea milango ya sakafuni. Jambo lililowavutia sana watu katika onyesho la uwindaji ni tabia zisizo za kawaida za wanyama hao. Hata hivyo walivutiwa zaidi na ukatili.
-