-
Kupambana na Hayawani Wawili Wakali SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na mimi nikaona hayawani-mwitu mwingine akipanda kutoka katika dunia, na alikuwa na pembe mbili kama mwana-kondoo, lakini akaanza kusema kama drakoni.
-
-
Kupambana na Hayawani Wawili Wakali SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Hayawani-mwitu huyu ana pembe mbili, kuonyesha ushirika wa serikali mbili za kisiasa. Na anaelezwa kuwa anatoka katika dunia, si kutoka katika bahari. Hivyo, anakuja kutoka mfumo wa mambo wa kidunia wa Shetani ambao tayari umeimarishwa. Ni lazima awe serikali ya ulimwengu, ambayo tayari ipo, inayochukua daraka la maana wakati wa siku ya Bwana.
-