-
Kupambana na Hayawani Wawili Wakali SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Huyu hayawani-mwitu wa kitamathali mwenye pembe mbili ni mfanyizo wa serikali mbili za kisiasa zilizoko wakati ule ule mmoja ambazo zinajitegemea, lakini zinashirikiana pamoja. Pembe zake mbili “kama mwana-kondoo” hudokeza kwamba hujifanya kuwa mpole na asiyechokoza, akiwa na namna ya serikali iliyotiwa nuru ambayo ulimwengu wote wapaswa kuiendea.
-
-
Kupambana na Hayawani Wawili Wakali SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Hakutia moyo watu wanyenyekee Ufalme wa Mungu chini ya utawala wa Mwana-Kondoo wa Mungu bali, badala ya hivyo, ni kwa mapendezi ya Shetani, yule drakoni mkubwa. Ametetea migawanyiko ya utukuzaji wa taifa na chuki ambazo hujumlika kuwa ibada kwa hayawani-mwitu wa kwanza.c
-
-
Kupambana na Hayawani Wawili Wakali SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na yeye alipewa ruhusa kuupa pumzi huo mfano wa hayawani-mwitu, ili kwamba mfano wa hayawani-mwitu upaswe kunena na kusababisha pia kuuawa kwa wale wote ambao kwa njia yoyote hawangeabudu mfano wa hayawani-mwitu.”—Ufunuo 13:14, 15, NW.
29. (a) Ni nini kusudi la mfano wa hayawani-mwitu, na mfano huo uliundwa lini? (b) Ni kwa nini mfano wa hayawani-mwitu si sanamu tu isiyo na uhai?
29 Huu “mfano wa hayawani-mwitu” ni nini, na kusudi lao ni nini? Kusudi lao ni kuendeleza ibada ya hayawani-mwitu mwenye vichwa saba ambaye huo ni mfano wake na hivyo, kwa kweli, kudumisha kuwako kwa hayawani-mwitu. Huu mfano unaundwa baada ya hayawani-mwitu mwenye vichwa saba kupona dharuba yake ya upanga, yaani, baada ya vita ya ulimwengu ya kwanza. Si sanamu isiyo na uhai, kama ile aliyosimamisha Nebukadreza kwenye nyanda za Dura. (Danieli 3:1) Hayawani-mwitu huvuvia uhai ndani ya mfano huu hivi kwamba mfano unaweza kuishi na kutimiza daraka katika historia ya ulimwengu.
-
-
Kupambana na Hayawani Wawili Wakali SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
c Waelezaji wameona kwamba utukuzo wa taifa, kwa kweli, ni dini. Kwa sababu hiyo, watu ambao ni watukuzaji wa taifa kwa kweli wao wanaabudu sehemu ya hayawani-mwitu inayowakilishwa na nchi ambayo katika hiyo wanaishi. Kwa habari ya utukuzaji wa taifa katika United States, sisi tunasoma hivi: “Utukuzaji wa taifa, ukionwa kuwa dini, una mengi yanayohusiana na mifumo mikubwa ya dini za wakati uliopita . . . Mtetea taifa wa kidini wa ki-siku-hizi anaona utegemeo wake ni mungu wake mwenyewe wa kitaifa. Yeye anahisi yuahitaji msaada Wake wenye nguvu. Katika Yeye hutambua mna chimbuko lake mwenyewe la ukamilifu na furaha. Yeye anajitiisha kwake Huyo, kwa maana halisi ya kidini. . . . Taifa linaonwa kuwa la milele, na kifo cha wana walo washikamanifu huongeza tu sifa na utukufu walo usiokufa.”—Carlton J. F. Hayes, kama alivyonukuliwa katika ukurasa 359 wa kitabu What Americans Believe and How They Worship, cha J. Paul Williams.
-