Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kupambana na Hayawani Wawili Wakali Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Na yeye akapewa ruhusa kupiga vita na wale watakatifu na kuwashinda, na mamlaka akapewa juu ya kila kabila na kikundi cha watu na ulimi na taifa.

  • Kupambana na Hayawani Wawili Wakali Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 13:5-

  • Kupambana na Hayawani Wawili Wakali Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Hivyo, kufikia mwishoni mwa 1914 kuendelea mpaka ndani ya 1918, wakati mataifa yenye kupigana yalipokuwa yakiraruana kihalisi kama hayawani-mwitu, wananchi wa mataifa hayo walibanwa wamwabudu hayawani-mwitu, washiriki dini ya utukuzo wa taifa, hata kuwa tayari kufia nchi yao. Mbano kama huo uliongoza kwenye mateso makali upande wa wengi wa wapakwa-mafuta ambao walihisi kwamba utii wao wa juu zaidi ulikuwa wa Yehova Mungu na Mwana wake, Kristo Yesu. (Matendo 5:29) Majaribu yao yalifikia upeo katika Juni 1918, wakati wao ‘waliposhindwa.’ Katika United States, maofisa mashuhuri na wawakilishi wa Sosaiti ya Mnara wa Mlinzi walitiwa gerezani kimakosa, na kazi ya kuhubiri iliyopangwa kitengenezo ya ndugu zao Wakristo ilizuiwa sana. Akiwa na mamlaka “juu ya kila kabila na kikundi cha watu na ulimi na taifa,” hayawani-mwitu alizuia sana kazi ya Mungu ulimwenguni pote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki