Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Februari 1
    • Kwa kweli, neno “kileo” linaweza pia kumaanisha bia au pombe. Neno la Kiebrania linalotafsiriwa kuwa “kileo” linahusiana na neno la Kiakadi ambalo linaweza kumaanisha pombe ya kawaida ya shayiri kutoka Mesopotamia. Pombe hiyo haingeweza kumlewesha mtu haraka lakini mtu angeweza kulewa ikiwa angekunywa kupita kiasi. (Methali 20:1) Sanamu za udongo za viwanda vya pombe na michoro ya watu wanaopika pombe imepatikana katika makaburi ya kale nchini Misri. Huko Babiloni, pombe ilikuwa kinywaji cha kawaida katika makao ya kifalme na vilevile nyumba za watu maskini. Wafilisti pia walikuwa na kinywaji kama hicho. Katika nchi ya Palestina, wachimbaji wa vitu vya kale wamepata vyombo vyenye vichujio. Vyombo hivyo vilichuja pombe ili wanywaji wasimeze machicha ya shayiri yaliyotumiwa kupikia pombe hiyo.

  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Februari 1
    • [Picha katika ukurasa wa 23]

      Chupa za mbao za pombe kutoka Misri

      [Hisani]

      Erich Lessing/Art Resource, NY

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki