-
Kupiga Mbiu ya Kurudi kwa BwanaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Walinunua ile “Plymouth Bethel” ya zamani, iliyokuwa kwenye 13-17 Hicks Street, Brooklyn. Ilikuwa imetumika kuwa jengo la kimisheni kwa ajili ya Plymouth Congregational Church lililokuwa karibu, ambapo Henry Ward Beecher alitumikia wakati mmoja akiwa pasta.
-
-
Kupiga Mbiu ya Kurudi kwa BwanaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Lile jengo la Hicks Street lilirekebishwa na kupewa umbo jipya na kuitwa Brooklyn Tabernacle. Lilikuwa makao ya ofisi za Sosaiti na jumba la mikutano.
-