Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nimefurahia Kumtumikia Yehova
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Oktoba 15
    • Katika mwaka wa 1972, nilihamishwa kutoka katika Shule ya Gileadi na kupelekwa katika Idara ya Kushughulikia Maswali ya Wasomaji, ambamo nilitumikia nikiwa mwangalizi. Kufanya utafiti ili kujibu maswali na kutatua matatizo mbalimbali kumenisaidia kuelewa vizuri zaidi mafundisho ya Neno la Mungu na kujua kutumia kanuni bora za Mungu wetu katika kuwasaidia wengine.

  • Nimefurahia Kumtumikia Yehova
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Oktoba 15
    • Katika miaka 12 iliyopita, nimetumikia tena nikiwa mwangalizi wa Idara ya Kushughulikia Maswali ya Wasomaji, ambayo imehamishwa kutoka Brooklyn mpaka Patterson.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki