-
Upanuzi kwa Baraka za YehovaMnara wa Mlinzi—1996 | Aprili 15
-
-
Msemaji pia alieleza jinsi Mashahidi wa Yehova walivyonunua 97 Columbia Heights, ambalo mbeleni lilikuwa mahali pa Margaret Hotel iliyojulikana sana, ng’ambo tu ya barabara kutoka Kao la Betheli la awali. Mahali hapo pafaa, kwa kuwa paliweza kuunganishwa na majengo ya Betheli kupitia shimo la chini ya ardhi. Katika Februari 1980, wakati jengo hilo lilipokuwa likiendelea kujengwa upya, lilichomeka. Kisha, kwa kuwa mwenyewe alitatizika kusimamisha jengo jipya mahali palepale, aliwauzia Mashahidi wa Yehova ile sehemu.
-
-
Upanuzi kwa Baraka za YehovaMnara wa Mlinzi—1996 | Aprili 15
-
-
97 COLUMBIA HTS. • 1986
-