Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kuhubiri Hadharani na Kutoka Nyumba Hadi Nyumba
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Katika 1950, mafunzo ya Biblia nyumbani, mara nyingi yakiongozwa kila juma, yalikuwa na wastani wa 234,952. Mafunzo ambayo hayakufanya maendeleo ya kutosha yaliachwa. Wanafunzi wengi walifanya maendeleo kufikia hatua kwamba wao pia, wakawa walimu. Kujapokuwa na wengi wanaokomaa na kuwa walimu, idadi ya mafunzo ya Biblia inazidi kuongezeka, mara nyingi haraka sana. Kufikia 1992, Mashahidi walikuwa wakiongoza mafunzo ya Biblia nyumbani 4,278,127 ulimwenguni pote.

  • Kuhubiri Hadharani na Kutoka Nyumba Hadi Nyumba
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Grafu katika ukurasa wa 574]

      (Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)

      Ongezeko la Mafunzo ya Biblia Nyumbani

      4,000,000

      3,000,000

      2,000,000

      1,000,000

      1950 1960 1970 1980 1992

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki