-
Wawaldo Waacha Uzushi na Kuwa WaprotestantiMnara wa Mlinzi—2002 | Machi 15
-
-
Mnamo mwaka wa 1526 mmoja wa wale wajomba wa Wawaldo alirudi kwenye milima ya Alps akiwa na habari za maendeleo ya kidini huko Ulaya. Hayo yalifuatwa na kipindi cha mabadilishano ya maoni kati ya jamii za Waprotestanti na Wawaldo. Waprotestanti waliwatia moyo Wawaldo wadhamini tafsiri ya kwanza ya Biblia katika Kifaransa kutoka kwa lugha ya awali. Tafsiri hiyo ilichapishwa mwaka wa 1535, na ikaja kuitwa Biblia ya Olivétan. Kwa kusikitisha, Wawaldo wengi hawakuelewa Kifaransa.
-
-
Wawaldo Waacha Uzushi na Kuwa WaprotestantiMnara wa Mlinzi—2002 | Machi 15
-
-
[Picha]
Wawaldo walikuwa wadhamini wa tafsiri ya Biblia ya Olivétan ya 1535
[Hisani]
Biblia: © Cliché Bibliothèque nationale de France, Paris
-