-
Magumu ya Kujua Maana ya Jina la MunguMnara wa Mlinzi—2010 | Julai 1
-
-
tafsiri za Kiswahili za Union Version na Zaire Swahili Bible, hutumia jina la Mungu mara kadhaa.
-
-
Magumu ya Kujua Maana ya Jina la MunguMnara wa Mlinzi—2010 | Julai 1
-
-
Steven Voth, mshauri wa utafsiri wa Shirika la Vyama vya Biblia (UBS) aliandika hivi: “Mojawapo ya mjadala unaoendelea katika makanisa ya Kiprotestanti ya Amerika Kusini unahusu matumizi ya jina Jehová . . . Inashangaza kwamba makanisa mapya ya Kiprotestanti yanayokua haraka . . . yalisema kwamba yalitaka tafsiri ya Biblia ya Reina-Valera chapa ya mwaka wa 1960, lakini iwe bila jina Jehová. Badala yake, walitaka neno Señor [Bwana].” Voth alisema kwamba shirika la UBS lilikataa ombi hilo mara ya kwanza lakini baadaye likakubali na kuchapisha chapa ya Reina-Valera Bible “isiyokuwa na neno Jehová.”
-