-
Hazina Iliyofichika YafunukaMnara wa Mlinzi—1997 | Desemba 15
-
-
Hata hivyo, haikuruhusiwa makanisani. Hadi siku hii, Biblia pekee ambayo yatambuliwa katika Kanisa Othodoksi la Urusi ni ya Kislavoni.”
-
-
Hazina Iliyofichika YafunukaMnara wa Mlinzi—1997 | Desemba 15
-
-
Likitaja kutafsiriwa kwa Biblia katika Kirusi na Makarios na Pavsky katika nusu ya kwanza ya karne iliyopita, hilo gazeti la habari lilisema hivi: “Kufikia wakati huo, katika Urusi Biblia ingeweza kusomwa tu katika Kislavoni, lugha iliyoeleweka tu na makasisi.”
-