-
Mahali Ambapo Mabara Sita HuunganaAmkeni!—2005 | Februari 22
-
-
Bara la Amerika Kusini linawakilishwa na ndege mkubwa asiyeweza kuruka anayeitwa rhea (au nandu). Ndege huyo anafanana na emu wa Australia, naye ana kimo cha meta 1.5 na uzani wa kilo 50. Sawa na emu wa kiume, ndege wa kiume wa rhea ndiye hulalia mayai. Tofauti ni kwamba emu huwa na mwenzi mmoja tu, lakini rhea huwa na wenzi wengi. Hivyo, huenda rhea watatu hadi watano wa kike wakataga mayai yao ndani ya kiota kimoja.
-
-
Mahali Ambapo Mabara Sita HuunganaAmkeni!—2005 | Februari 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 17]
“Rhea”
-