-
Ni Umajimaji Gani Ulio na Thamani Kubwa Zaidi?Amkeni!—2006 | Agosti
-
-
Hebu wazia: Kila mwaka mabilioni ya lita za mafuta hutolewa ardhini ili kutosheleza mahitaji ya wanadamu, huku painti milioni 90 za damu zikitolewa katika miili ya wanadamu ili kuwasaidia wagonjwa.a Kiasi hicho kikubwa sana cha damu chatoshana na damu ya watu 8,000,000 hivi.
Hata hivyo, sawa na mafuta, inaonekana kwamba kuna uhaba wa damu. Wataalamu wa tiba ulimwenguni pote wanasema kwamba kuna uhaba wa damu. (Ona sanduku “Jitihada za Kufa na Kupona.”)
-
-
Ni Umajimaji Gani Ulio na Thamani Kubwa Zaidi?Amkeni!—2006 | Agosti
-
-
a Painti moja ina mililita 450 za damu.
-