-
Maswali Kutoka kwa WasomajiMnara wa Mlinzi—2000 | Oktoba 15
-
-
Mbinu hizo zaweza kuwa tofauti, na bila shaka mbinu, matibabu, na upimaji mpya wa damu zitatokezwa. Si jukumu letu kuchanganua kila mbinu tofauti na kutoa uamuzi. Mkristo apaswa kuamua mwenyewe kuhusu jinsi damu yake mwenyewe itakavyotumiwa wakati wa upasuaji, upimaji damu, au tiba inayotumika wakati huo. Anapaswa kujua mapema kutoka kwa daktari au mtaalamu wa kitiba mambo ambayo huenda yakafanyiwa damu yake wanapotumia mbinu hiyo. Kisha lazima aamue kulingana na dhamiri yake. (Ona sanduku.)
-
-
Maswali Kutoka kwa WasomajiMnara wa Mlinzi—2000 | Oktoba 15
-
-
Katika mbinu nyingine, damu inaweza kuelekezwa katika mashine ambayo kwa muda inafanya kazi ambayo kwa kawaida hufanywa na viungo vya mwili (kwa mfano, moyo, maini, au mafigo). Kisha damu hiyo iliyo katika mashine irudishwe katika mwili wa mgonjwa.
-