-
Norway2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Sandku/Picha katika ukurasa wa 113]
Alitimiza Ahadi Yake
JOHANNES KÅRSTAD
ALIZALIWA 1903
ALIBATIZWA 1931
MAELEZO MAFUPI KUMHUSU Alitumika katika mashua za mapainia kwa miaka minane.
-
-
Norway2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kuanzia 1931 hadi 1938, alitumia mashua ya mapainia inayoitwa Ester, na kisha akafanya upainia kwa mwaka mmoja hivi akitumia mashua Ruth, akisafiri kandokando ya pwani kuelekea upande wa kaskazini hadi Tromsø.
-