-
Tulijifunza Kumtegemea Yehova KikamiliMnara wa Mlinzi—2005 | Januari 1
-
-
Afanya Kazi Akiwa Baharia na Mhubiri
Mnamo Novemba 1931, Ferdinand alisafiri kwa gari-moshi kwenda Uholanzi ili kusaidia katika kazi ya kuhubiri huko. Ferdinand alipomwambia ndugu aliyepanga kazi ya kuhubiri nchini kwamba alikuwa baharia, ndugu huyo alisema: “Wewe ndiye hasa mtu tunayehitaji!” Akina ndugu walikuwa wamekodi mashua ili kikundi cha mapainia (wahudumu wa wakati wote) kiwahubirie wale walioishi kwenye ukingo wa mto sehemu ya kaskazini ya nchi. Mashua hiyo ilikuwa na mabaharia watano, lakini hakuna hata mmoja wao aliyejua kuiendesha. Hivyo, Ferdinand akawa nahodha.
-
-
Tulijifunza Kumtegemea Yehova KikamiliMnara wa Mlinzi—2005 | Januari 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 19]
Mashua “Almina” iliyotumiwa kuhubiri, pamoja na mabaharia wake
-