-
Dini ya Calvin Imetimiza Nini Tangu Ianzishwe Miaka 500 Iliyopita?Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 1
-
-
Katika mwaka wa 1536, Calvin alichapisha kitabu Institutes of the Christian Religion. Kitabu hicho kina kanuni za msingi za dini ya Kiprotestanti. Alimwandikia Mfalme Francis wa Kwanza kitabu hicho ili kuwatetea Waprotestanti wa Ufaransa, ambao baadaye waliitwa Wahuguenoti. Calvin alishtumu mafundisho ya Kanisa Katoliki na kutetea msingi wa imani yake—enzi kuu ya Mungu. Kitabu hicho cha Calvin pia kilichangia sana ukuzi wa lugha ya Kifaransa na mtindo wa uandishi. Calvin alisifika kuwa mmoja kati ya viongozi mashuhuri zaidi wa marekebisho ya kidini.
-
-
Dini ya Calvin Imetimiza Nini Tangu Ianzishwe Miaka 500 Iliyopita?Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 19]
Kitabu cha Calvin “Institutes” (1536) kiliandaa kanuni za msingi za dini ya Kiprotestanti
[Hisani]
© INTERFOTO/Alamy
-