Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mungu Ni “Mtendaji wa Mambo Makuu”—Jinsi Nilivyotambua Jambo Hilo
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Desemba 1
    • Kisha, katika mwaka wa 1978 ofisi ya tawi ikahamishwa hadi kwenye nyumba yenye ghorofa mbili. Miaka 20 baadaye idadi ya Mashahidi iliongezeka na kufikia zaidi ya 2,500. Upanuzi zaidi ulifanywa katika ofisi ya tawi, na mnamo Januari 22, 2000, John E. Barr, mshiriki wa Baraza Linaloongoza la Mashahidi wa Yehova, akaja kutoka Marekani na kutoa hotuba ya kuzindua jengo la ghorofa mbili, ambalo leo linatumika kwa ajili ya ofisi na vyumba vya kulala.

      Baraka Nyingi Ambazo Nimepata

      Leo, wajitoleaji 52 wanaishi na kufanya kazi katika ofisi ya tawi ya Yangon, na kuna Mashahidi 3,500 hivi wanaotumika katika makutaniko na vikundi 74 kotekote nchini.

  • Mungu Ni “Mtendaji wa Mambo Makuu”—Jinsi Nilivyotambua Jambo Hilo
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Desemba 1
    • [Picha katika ukurasa wa 29]

      Ofisi yetu ya tawi yenye kupendeza iliyozinduliwa mwaka wa 2000

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki