-
Myanmar “Nchi ya Kidhahabu”Amkeni!—2001 | Desemba 8
-
-
Mnamo Januari 1978, ofisi ya tawi ilihamishwa kwenye Barabara ya Inya. Makao makuu hayo yenye orofa tatu yanaitwa Betheli ya Myanmar. Washiriki 52 wa familia ya Betheli hushughulikia mahitaji ya Mashahidi wapatao 3,000 nchini humo. Kwa kuwa lugha nyingi za kienyeji hutumiwa nchini Myanmar, sehemu kubwa ya kazi inayofanywa kwenye ofisi hiyo ni ya kutafsiri.
-
-
Myanmar “Nchi ya Kidhahabu”Amkeni!—2001 | Desemba 8
-
-
[Picha katika ukurasa wa 20]
Ofisi ya tawi ya Mashahidi wa Yehova ya Myanmar
-