Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ya Kwanza Miaka 100 Iliyopita
    Amkeni!—2000 | Desemba 22
    • Baadaye, mnamo Aprili 23, 1900, majengo ya ofisi ya tawi ya kwanza yalinunuliwa huko London, Uingereza. Majengo hayo yalikuwa kwenye barabara ya 131 Gipsy Lane, Forest Gate, huko East London, kama inavyoonyeshwa hapa.

      OFISI ya tawi hiyo ya kwanza ilipoanzishwa miaka mia moja iliyopita, Uingereza ilikuwa na Wanafunzi wa Biblia 138, kama Mashahidi wa Yehova walivyojulikana wakati huo.

  • Ya Kwanza Miaka 100 Iliyopita
    Amkeni!—2000 | Desemba 22
    • Katika mwaka wa 1911 ofisi ya tawi ya kwanza ya Watch Tower Society, huko London, Uingereza, ilihamia 34 Craven Terrace, ambako kulikuwa na nafasi tele ya ofisi na makao. Kisha mnamo Aprili 26, 1959, majengo mapya ya ofisi ya tawi yaliwekwa wakfu huko Mill Hill, London. Baadaye jengo la makao lilipanuliwa, na hatimaye (katika mwaka wa 1993) jengo la matbaa na maofisi lenye ukubwa wa meta 18,500 za mraba liliwekwa wakfu karibu na mahali hapo. Matbaa hiyo huchapa zaidi ya nakala milioni 90 za Mnara wa Mlinzi na Amkeni! katika lugha 23 kila mwaka.

  • Ya Kwanza Miaka 100 Iliyopita
    Amkeni!—2000 | Desemba 22
    • [Picha katika ukurasa wa 18]

      Ofisi ya tawi ya London huko 34 Craven Terrace (picha ya kulia)

      [Picha katika ukurasa wa 18]

      Majengo yanayotumika sasa huko London

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki