Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ya Kwanza Miaka 100 Iliyopita
    Amkeni!—2000 | Desemba 22
    • Miaka miwili baadaye, katika mwaka wa 1902, ofisi ya tawi ya pili ilifunguliwa, huko Ujerumani;

  • Ya Kwanza Miaka 100 Iliyopita
    Amkeni!—2000 | Desemba 22
    • Upanuzi wa ofisi ya tawi ya pili ya Sosaiti ulikuwa wenye kutokeza hata zaidi. Katika mwaka wa 1923 ofisi ya tawi ya Ujerumani ilihamia Magdeburg. Gazeti la Mnara wa Mlinzi la Julai 15, 1923, lilikuwa la kwanza kuchapwa katika matbaa hiyo ya Sosaiti. Katika miaka michache iliyofuata, uwanja uliokuwa karibu ulinunuliwa, majengo zaidi yakajengwa, na vifaa vya kujalidi na matbaa nyingine zilinunuliwa. Katika mwaka wa 1933, ofisi hiyo ya tawi ilitwaliwa na Wanazi, Mashahidi wakapigwa marufuku, na hatimaye Mashahidi elfu mbili kati yao wakapelekwa kwenye kambi za mateso.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki