Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutokeza Fasihi za Biblia Ili Zitumiwe Katika Huduma
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Katika Ujerumani kufuatia Vita ya Ulimwengu 1, idadi kubwa ya watu walikuwa wakimiminika kwenye mikutano ya Wanafunzi wa Biblia. Lakini Wajerumani walikuwa wakipata taabu kubwa ya kiuchumi. Ili kupunguza gharama ya fasihi za Biblia kwa manufaa yao, Sosaiti ilisitawisha kazi ya uchapaji yayo yenyewe huko pia. Katika Barmen, mwaka 1922, uchapaji ulifanywa kwa kutumia matbaa-tambarare kwenye sehemu ya ngazi katika Kao la Betheli na kwenye nyingine katika kibanda cha mbao. Mwaka uliofuata akina ndugu walihamia Magdeburg kwenye vifaa bora zaidi. Walikuwa na majengo mazuri huko, mengine yaliongezwa, na vifaa vya kuchapa na kujalidi vitabu vikawekwa. Kufikia mwisho wa 1925, iliripotiwa kwamba uwezo wa kutokeza vitabu wa kiwanda hicho ungekuwa mkubwa angalau kama ule uliotumiwa kwenye makao makuu katika Brooklyn.

  • Kutokeza Fasihi za Biblia Ili Zitumiwe Katika Huduma
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Picha katika ukurasa wa 584]

      Katika Magdeburg, Ujerumani, Sosaiti ilianzisha kiwanda cha kuchapa wakati wa miaka ya 1920

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki