-
Ya Kwanza Miaka 100 IliyopitaAmkeni!—2000 | Desemba 22
-
-
Wakati huohuo, katika mwaka wa 1947 uwanja ulinunuliwa katika Wiesbaden, Ujerumani Magharibi. Katika miongo iliyofuata, majengo ya ofisi ya tawi yaliyokuwa yamejengwa mahali hapo yalipanuliwa mara kwa mara ili kukabiliana na uhitaji wa vichapo.
-
-
Ya Kwanza Miaka 100 IliyopitaAmkeni!—2000 | Desemba 22
-
-
Kwa sababu ya uwanja kuwa mdogo katika Wiesbaden, eneo la ekari 75 lilinunuliwa karibu na Selters mwaka wa 1979. Baada ya ujenzi wa miaka mitano, ofisi ya tawi kubwa iliwekwa wakfu mnamo Aprili 21, 1984. Tangu wakati huo imepanuliwa ili kutoshea wafanyakazi wanaozidi elfu moja. Kila mwezi zaidi ya nakala milioni 16 za magazeti katika zaidi ya lugha 30 huchapishwa katika matbaa kubwa huko Selters; na katika mwaka wa hivi karibuni, zaidi ya vitabu milioni 18, kutia ndani Biblia zilitayarishwa katika kiwanda cha kujalidi cha mahali hapo.
-