Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Kuna Uzuri Upande wa Mkono Wako wa Kuume Milele”
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Machi 15
    • Madirisha yalielekeana na uwanja wenye bustani ndogo, kulikuwa pia na jogoo mkubwa mwekundu, na vifaranga wa kuku. Tulihisi ni kana kwamba tulikuwa mashambani huko Saskatchewan. Tuliishi katika nyumba hiyo watu 12. Kila siku asubuhi tulivuka jiji ili kufanya kazi Betheli.

  • “Kuna Uzuri Upande wa Mkono Wako wa Kuume Milele”
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Machi 15
    • Ndugu kutoka katika nchi nyingi walikuja Ukrainia mnamo Mei 2001 kwa ajili ya kuwekwa wakfu kwa ofisi yetu mpya ya tawi. Baada ya hotuba ya pekee iliyotolewa katika uwanja fulani Jumapili asubuhi, umati mkubwa wa ndugu na dada ulimiminika barabarani ili kutembelea Betheli mpya. Hatuwezi kamwe kusahau jambo hilo! Niliguswa moyo sana kuona ndugu hao, ambao walikuwa kimya na wenye utaratibu sana. Jambo hilo lilinifanya nithamini zaidi uzuri wa kumtumikia Mungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki