Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matukio Muhimu ya mwaka uliopita
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • OFISI ZA TAWI ZAWEKWA WAKFU

      Kulikuwa na shangwe kubwa kwenye ofisi ya tawi ya Afrika Kusini Jumamosi (Siku ya Posho), Novemba 10, 2007, wakati ndugu na dada 4,000 hivi walipokusanyika kwa ajili ya kuwekwa wakfu kwa kiwanda cha uchapishaji kilichopanuliwa, chumba cha kulia chakula, na jengo la makao.

      Waliotembelea kiwanda hicho walifurahia kuona mashini za uchapaji zinazoitwa MAN Roland Lithoman zikichapisha makumi ya maelfu ya Biblia na vichapo vya Biblia. Mashini mpya ya kujalidi vitabu tayari imejalidi nakala zaidi ya milioni moja za Tafsiri ya Ulimwengu Mpya katika lugha 16 za Afrika. Wageni walionyeshwa jengo la idara ya upakizi na usafirishaji lililopanuliwa ambapo ofisi inaweka vichapo vya Biblia vinavyotumiwa na makutaniko 8,000 hivi katika nchi kumi kusini mwa Afrika.

  • Matukio Muhimu ya mwaka uliopita
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 29]

      Kiwanda cha uchapishaji, ofisi ya tawi ya Afrika Kusini

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki