-
Afrika Kusini2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Mwaka wa 1910, William W. Johnston kutoka Glasgow, Scotland, alikuja Afrika Kusini akiwa ametumwa afungue ofisi ya tawi ya Wanafunzi wa Biblia. Yamkini akiwa katika miaka yake ya 30 na kitu, Ndugu Johnston alikuwa mkomavu na mwenye kutegemeka. Ofisi ya tawi aliyoanzisha ilikuwa chumba kidogo katika jengo fulani huko Durban. Ofisi hiyo ilipaswa kusimamia kazi katika eneo kubwa sana, sehemu yote ya Afrika iliyo kusini mwa ikweta.
-
-
Afrika Kusini2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 75]
Ofisi ya tawi ya kwanza ilikuwa chumba kidogo katika jengo hili
-