-
Sehemu ya 3—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Eneo lililosimamiwa na tawi la Sosaiti la Australia lilifika mbali sana nje ya Australia yenyewe. Lilitia ndani China na vikundi vya visiwa na mataifa yaliyoenea kuanzia Tahiti upande wa mashariki hadi Burma (sasa ni Myanmar) upande wa magharibi, umbali wa kilometa 13,700. Ndani ya eneo hilo zilikuwamo sehemu kama vile Hong Kong, Indochina (sasa ni Kambodia, Laos, na Vietnam), Indies Mashariki ya Uholanzi (kutia na visiwa kama Sumatra, Java, na Borneo), New Zealand, Siam (sasa ni Thailand), na Maleya. Lilikuwa jambo la kawaida kwa mwangalizi wa tawi, Alexander MacGillivray, Mscotland, kumwalika painia kijana mwenye bidii katika ofisi yake, na kumwonyesha ramani ya eneo la tawi na kumwuliza: ‘Je, ungependa kuwa mishonari?’ Kisha, akielekeza kwenye eneo ambalo ni kazi ndogo sana ya kuhubiri imefanywa, alikuwa akiuliza: ‘Je, ungependa kufungua kazi katika eneo hili?’
-
-
Sehemu ya 3—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Ramani/Picha katika ukurasa wa 446]
Alexander MacGillivray, akiwa mwangalizi wa tawi la Australia, alisaidia kupanga safari za kuhubiri katika nchi na visiwa vingi
[Ramani]
(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)
AUSTRALIA
NEW ZEALAND
TAHITI
TONGA
FIJI
NEW GUINEA
JAVA
BORNEO
SUMATRA
BURMA
HONG KONG
MALEYA
SIAM
INDOCHINA
CHINA
BAHARI YA PASIFIKI
Majina ya Mahali Ni Yale Yaliyokuwa Yakitumika Wakati wa Miaka ya 1930
-