-
Kujenga Pamoja Duniani PoteMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Katika Cesario Lange, katika Brazili, majengo mengi ya Watch Tower yaliyokamilishwa mwaka uo huo yalitia ndani majengo manane, yenye nafasi ya sakafu ya meta za mraba 46,000. Yalihitaji malori 10,000 yaliyojaa saruji, mawe, na mchanga, pamoja na vizingiti vyenye mkorogo wa saruji na kokoto vinavyofika mara mbili ya urefu wa Mlima Everest!
-
-
Kujenga Pamoja Duniani PoteMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Wakati wa 1980, Mashahidi wa Yehova katika Brazili walitumia saa 14,000,000 hivi kwa kazi ya kuhubiri hadharani ujumbe wa Ufalme. Tarakimu hiyo ilipanda kufikia karibu 50,000,000 katika 1989. Watu wengi zaidi walikuwa wakionyesha tamaa ya kutaka njaa yao ya kiroho itoshelezwe. Yale majengo ya tawi yaliyokuwa yamewekwa wakfu katika 1981 hayakutosha tena. Tayari kufikia Septemba 1988, uchimbuzi kwa ajili ya kiwanda kipya ulikuwa ukiendelea. Hicho kingeandaa asilimia 80 ya nafasi zaidi ya sakafu kuliko iliyokuwako katika kiwanda kilichoko, na bila shaka, makazi ya kutunza familia ya Betheli iliyoongezeka yangehitajiwa pia.
-