-
Estonia2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
OFISI YA TAWI YA KWANZA
Haikuwa rahisi kupata jengo linalofaa kutumiwa kama ofisi, na kwa kuwa wageni walionwa kuwa matajiri, walitozwa kodi ya juu. Hata hivyo, mwaka wa 1926 ofisi ya tawi ilifunguliwa katika jengo dogo jijini Tallinn, kwenye Barabara ya 17 Kreutzwaldi, na Albert West akawa mtumishi wa ofisi ya tawi.
-
-
Estonia2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 167]
Alexander na Hilda Brydson, miaka ya 1930
-