-
Estonia2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
KAZI KATIKA OFISI YA TAWI MWANZONI
Katika siku hizo za mapema, ofisi ndogo ya tawi ilitumika pia kwa ajili ya makusanyiko. Kusanyiko la kwanza lililofanywa Juni 1928, lilihudhuriwa na watu 25, na 4 wakabatizwa.
-
-
Estonia2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Ofisi ya tawi ilihamishiwa kwenye Barabara ya 72 Suur Tartu, Tallinn, mwaka wa 1932, na mwaka uliofuata shirika la Watch Tower Bible and Tract Society likaandikishwa kisheria nchini Estonia.
-
-
Estonia2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 174]
Ofisi ya tawi ilihamishiwa kwenye Barabara ya 72 Suur Tartu, Tallinn, mwaka wa 1932
-