-
Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kulikuwa na furaha nyingi wakati ofisi mpya nchini Hong Kong zilipowekwa wakfu mnamo AgostiĀ 27, 2011. Ofisi hizo mpya zimo katika ghorofa ya 19 ya jengo lenye ghorofa 37 lililo karibu na Bandari ya Victoria. (Ona alama ya mshale chini.) Stephen Lett wa Baraza Linaloongoza alitoa hotuba ya kuweka wakfu iliyosikilizwa na watu 290 walioketi kwenye chumba cha kulia, ofisi, na eneo la upakizi wa machapisho. Ofisi hizo zinatumiwa na idara za Tafsiri, Utumishi, Kurekodi, Ununuzi, Hesabu, Upakizi na Usafirishaji.
-
-
Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 33]
Ofisi mpya nchini Hong Kong
-