Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uvumilivu Huleta Shangwe
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Julai 1
    • Mnamo Agosti 1943, Adolphe Messmer, Shahidi Mjerumani, alikuja Salvador kutusaidia kupanga kusanyiko letu la kwanza. Baada ya kupata kibali kutoka kwa wenye mamlaka ili kufanya kusanyiko hilo, hotuba ya watu wote yenye kichwa “Uhuru Katika Ulimwengu Mpya” ilitangazwa magazetini, na matangazo yakabandikwa kwenye madirisha ya maduka na kwenye mabasi. Lakini katika siku ya pili ya kusanyiko, polisi fulani alitufahamisha kwamba kibali chetu cha kukusanyika kilikuwa kimefutwa. Askofu mkuu wa Salvador alimshurutisha mkuu wa polisi asimamishe kusanyiko letu. Hata hivyo, mnamo Aprili mwaka uliofuata, tuliruhusiwa kukusanyika kwa ajili ya ile hotuba ya watu wote iliyokuwa imetangazwa.

  • Uvumilivu Huleta Shangwe
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Julai 1
    • [Picha katika ukurasa wa 9]

      Mashahidi watangaza hotuba ya watu wote katika kusanyiko la kwanza jijini Salvador mwaka wa 1943

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki