-
Betheli ya Brooklyn—Historia ya Miaka 100Mnara wa Mlinzi—2009 | Mei 1
-
-
Majengo ambayo shirika la Watch Tower Society lilinunua kwenye 13-17 Hicks Street yalikuwa mali ya kasisi mashuhuri aliyeitwa Henry Ward Beecher, nayo yaliitwa Betheli ya Beecher.
-
-
Betheli ya Brooklyn—Historia ya Miaka 100Mnara wa Mlinzi—2009 | Mei 1
-
-
Toleo la Mnara wa Mlinzi la Machi 1, 1909 (1/3/1909), lilisema: “Ni jambo la ajabu sana kwamba tulipata Betheli ya Beecher kisha bila kutarajia tukapata makao yake ya zamani. . . . Makao mapya yataitwa ‘Betheli,’ na ukumbi na ofisi mpya itaitwa ‘Maskani ya Brooklyn.’ Majina haya yatatumiwa badala ya jina ‘Nyumba ya Biblia.’”
-